Swali: Wakati fulani natoa swadaqah na kunuia thawabu ya swadaqah hiyo zimwendee mama yangu. Nikimweleza inahesabika ni kujionyesha?

Jibu: Ukimweleza ili umtulize na kumfurahisha, haina neno. Hata hivyo haijuzu kumweleza ili ujifakhari kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 07/11/2016