Kumweleza khabari maiti


Swali: Anayemtolea Salaam maiti anapata vilevile kumweleza hali zake na za watoto wake?

Jibu: Hili halikuthibiti. Lililothibiti ni yeye kumuombea Du´aa. Maiti ni mwenye haja ya Du´aa na kuombewa msamaha. Hana haja ya khabari na kadhalika. Haya hana haja nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-03-10.MP3
  • Imechapishwa: 16/11/2014