Swali: Kumwelekeza mnyama Qiblah wakati wa kuchinja ni sharti ili mnyama awe halali au inatosheleza tu kutaja jina la Allaah?

Jibu: Hapana, sio sharti. Ni Sunnah. Kumwelekeza Qiblah ni Sunnah kwa sababu kuchinja ni ´ibaadah na ´ibaadah zinatekelezwa kwa kuelekeza Qiblah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017