Swali: Je, inafaa kumwalika nyumbani mmoja katika wa mwanzo kabisa wa Tabliyghiyyuun katika mji wetu katika chakula cha mchana pamoja na baadhi ya ndugu Salafiyyuun kwa lengo la Da´wah?

Jibu: Ni sawa. Pengine akafaidika na nasaha za Salafiyyuun na miongozo. Ni sawa, Allaah akuwafikisheni.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.olamayemen.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=4213&size=2&ext=.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2021