Kumuwakilisha rafiki kwa ajili ya Zakaat-ul-Fitwr


Swali: Inajuzu kwangu kumuwakilisha rafiki yangu mwaminifu anitolee Zakaat-ul-Fitwr mimi na familia yangu na hivyo ni kwa sababu ya kujua kwake baadhi ya familia ambazo ni masikini?

Jibu: Hakuna neno kuwakilisha. Wakilisha ambaye atakutolea Zakaat-ul-Fitwr wewe na familia yako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/16036
  • Imechapishwa: 21/06/2017