Kumuozesha msichana mdogo kabla ya mkubwa

Swali: Mimi nina wasichana. Kuna mtu amekuja kumposa mdogo kabla ya mkubwa. Je, nimuozeshe mdogo kabla ya mkubwa?

Jibu: Haya ni kutokana na vile mtavyoona kutegemea na manufaa. Ikiwa yule mkubwa hatoona vibaya, basi hakuna neno kumuozesha yule mdogo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1436-03-02.mp3
  • Imechapishwa: 02/12/2017