Swali: Mwanamke akiwa ni mtumzima sana na amekwishaondokwa na akili. Je, inafaa kwa wanawake wakati wa haja kutazama uchi wake kwa ajili ya kumsafisha?

Jibu: Hapana. Waweke kitu juu ya uchi wake, waingize mikono yao chini ya kitu hicho chenye kufunika na kumsafisha. Ni lazima kufunika uchi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
  • Imechapishwa: 06/05/2019