Swali: Mtu akifa baada ya kumjamii mke wake aoshwe kwa ajili ya janaba kisha aoshwe josho ya kufa?

Jibu: Josho moja inatosha. Josho moja inatosha na inakuwa kwa ajili ya janaba na kwa ajili ya maiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-12.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014