Kumuosha maiti aliyekufa kwa ugonjwa wa corona

Swali: Kuhusu yule mwenye kufa kwa maradhi haya ya corona anaoshwa kwa sababu kuna khatari kubwa ya maambukizi?

Jibu: Kumgusa ni lazima wamguse kama pale watapombeba kumpeleka makaburini. Ugusaji ni lazima upatikane. Wakichelea kuambukizwa kwa sababu ya kumuosha, watatakiwa kumfanyia Tayammum.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=RGdGhrsp6Lo
  • Imechapishwa: 01/04/2020