Kumuona mke yuko na mwanaume mwingine


Swali: Mume akimuona mke wake pamoja na mwanaume mwingine akawa amemtaliki. Je, ana kitu juu yake na ni ipi nasaha yako?

Jibu: Akiwa na mashaka naye na asiwe na utulivu nae, amtaliki apate amani, Alhamdulillaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10061
  • Imechapishwa: 02/03/2018