Kumuoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ambaye baba yake ni mpagani

Swali 818: Ni ipi hukumu ya kumuoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ikiwa baba yake sio Ahl-ul-Kitaab?

Jibu: Maoni sahihi ni kwamba haikushurutishwa kufaa kumuoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab mpaka baba yake awe Ahl-ul-Kitaab. Kinachozingatiwa ni yeye mwanamke mwenyewe. Isitoshe hili ndio chaguo la Shaykh Taqiyy-ud-Diyn [Ibn Taymiyyah] (Rahimahu Allaah).

  • Mhusika: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 323
  • Imechapishwa: 21/07/2019