Kumuoa mke aliyeachwa na mdogo wake

Swali: Kaka yangu akimtaliki  mke wake baada ya kuzaa watoto. Je, nina haki ya kumuoa?

Jibu: Kaka yako akimtaliki na akamaliza kukaa eda yake na hakuna kati yenu chuki, basi itafaa na hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/هل-يجوز-الزواج-من-زوجة-الأخ؟
  • Imechapishwa: 18/06/2022