Kumuacha mke wake katika ule usiku wa kwanza wa ndoa bila ya kumwingilia


Swali: Mwenye kutaliki usiku ule wa kwanza wa ndoa na wala hakumjamii mke wake, je anarudishiwa mahari? Na lipo bora kwake katika hali hii?

Jibu: Haya yakatatuliwe mahakamani. Hapa kuna kuachana kwa kugombana. Yapelekwe mahakamani yatazamwe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10012
  • Imechapishwa: 02/03/2018