Kumtumia maiti thawabu za kisomo haikuthibiti


Swali: Kusoma Qur-aan na kumtumia thawabu zake maiti ni jambo lenye kuruhusu?

Jibu: Hakukuthibiti dalili juu ya hilo. Ajiombee du´aa mwenyewe na amuombee maiti. Ama kusema amtumie thawabu za kisomo ni jambo linalohitajia dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (17) http://alfawzan.af.org.sa/node/2110
  • Imechapishwa: 06/07/2020