Swali: Mimi natokea Urusi. Dada yangu anafunga baadhi ya siku za Ramadhaan na wala haswali. Je, nimtolee Zakaat-ul-Fitwr?

Jibu: Ambaye haswali sio muislamu na wala zakaah yake haisihi. Kwa sababu haswali. Swalah ni yenye kutangulia kabla ya zakaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
  • Imechapishwa: 19/10/2019