Swali: Muislamu mwenye kueshi katika mji wa makafiri. Je, ni wajibu kwake kumtii raisi wa mji? Vipi tutajumuisha baina ya kumtii kafiri huyu na kukufuru Twaaghuut?
Jibu: Amtii katika yasiyokuwa maasi kwa Allaah. Asimtii katika ukafiri wala maasi. Ama katika mambo yanayoruhusu, hakuna neno. Lakini haijuzu kwake kueshi katika mji wa kikafiri ilihali ana uwezo wa kuhama kwenda katika miji ya waislamu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Muislamu mwenye kueshi katika mji wa makafiri. Je, ni wajibu kwake kumtii raisi wa mji? Vipi tutajumuisha baina ya kumtii kafiri huyu na kukufuru Twaaghuut?
Jibu: Amtii katika yasiyokuwa maasi kwa Allaah. Asimtii katika ukafiri wala maasi. Ama katika mambo yanayoruhusu, hakuna neno. Lakini haijuzu kwake kueshi katika mji wa kikafiri ilihali ana uwezo wa kuhama kwenda katika miji ya waislamu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/kumtii-mtawala-kafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)