Kumtaliki mke kwa sababu ya kumkosea mama mkwe


Swali: Mke akimkosea mama mkwe. Je, ni wajibu kumtaliki kwa sababu hiyo kwa njia ya uwajibu?

Jibu: Hapana. Si wajibu kwake kufanya hivo. Lakini awatenganishe kati yao. Amweke kila mmoja katika nyumba yake. Asiwaweke sehemu moja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 18/09/2018