Kumtakia rahmah anayepiga chafya na kusema “Alhamduli lillaah, Rabbil-´Aalamiyn”

Swali: Mwenye kupiga chafya na kusema “Alhamduli lillaah, Rabbil-´Aalamiyn” na kuzidisha “Rabbil-´Aalamiyn”, je, nimwambie “Yaarhamka Allaah”?

Jibu: Ndio, hakuna neno.

“Akipiga chafya na kusema “Alhamdulillaah” mwambie “Yarhamka Allaah.”

Huyu amemhimidi Allaah. Mwenye kuleta “Rabbil-´Aalamiyn” ni ziada ya kheri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-07.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014