Kumswalia mwenye hedhi na nifasi msikitini

Swal 284: Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi anapokufa mmoja wao? Inajuzu kuwaswalia ndani ya msikiti?

Jibu: Ndio, inajuzu kukiaminiwa kutochafua msikiti. Kwa sababu hukumu imekatika kwa kufa kwake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 108
  • Imechapishwa: 11/10/2019