Swali: Du´aa ni jambo linakubalika Kishari´ah katika Sujuud. Je, imewekwa katika Shari´ah kumswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kabla ya kuanza kuomba katika Sujuud?

Jibu: Ndio, hakuna neno. Kumswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni du´aa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017