Swali: Inafaa kumswalia maiti kabla ya kumuosha?

Jibu: Hapana. Miongoni mwa sharti  za kusihi kwa swalah juu ya maiti ni hayo yafanyike baada ya kuosha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2019