Swali: Ada katika mji wetu kunapochinjwa ´Aqiyqah kisha kichwa cha mtoto kikanyolewa anasomewa Suurat-ul-Luqmaan ikiwa ni mvulana.
Jibu: Hili halina asli. Hii ni Bid´ah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-5-25.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014