Kumsomea maiti Qur-aan kabla au baada ya mazishi


Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan nyumbani wakati watu wako wanazika?

Jibu: Kumsomea Qur-aan maiti ni Bid´ah. Ni mamoja wakati wa kuzika, kabla ya kuzika au baada ya kuzika. Ni mambo hayakuwekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=67955&audiotype=lectures&browseby=speaker
  • Imechapishwa: 29/07/2017