Kumshika mke mkono mbele ya watu


Swali: Inajuzu kwa mume kushika mkono wa mke mke kushika mkono wa mume wake mbele za watu?

Jibu: Hakuna neno. Hili litategemea na mila (desturi) ya watu.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=IaOm27v1g7A