Kumpa mtoto wa kiume jina la Daaniyaal


Swali: Inafaa kwa muislamu kumpa mtoto wake wa kiume jina la Daaniyaal, jina la Mtume Daaniyaal?

Jibu: Sijui makatazo yoyote juu ya hilo. Ni jina la Mtume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017