Swali: Jina Umayyah linapewa mvulana tu? Nikimwita msichana wangu kwa jina hili ni lazima kumbadilisha?

Jibu: Hili sio jina la kike. Hili ni jina la kiume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014