Swali: Imechukizwa kujiita kwa jina la Swaabriyn?

Jibu: Swaabriyn ni wingi wa Swabr. Hakuna neno. Mwite kwa jina la Swabriyn au Swabr, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014