Kumpa mtoto jina la Rahiyl


Swali: Je, inajuzu kumpa mtoto wangu wa kiume jina la Rahiyl?

Jibu: Makatazo yako wapi? Halina maana inayochukiza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-12-29.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014