Swali: Allaah Ameniruzuku mtoto nikampa jina la “Ghalaa´”. Je, katika jina hili kuna makatazo ya Kishari´ah?
Jibu: Hakuna makatazo. Ghalaa´ hakuna makatazo, bi maana ni ghali kwako. Ama kama ni Ghuluw (mpetuka mipaka), jina hili halijuzu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-5-11.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014