Kumjulisha mke wa kwanza juu ya kuongeza mke


Swali: Ni wajibu kwa mtu ambaye anataka kuongeza mke wa pili kumjulisha yule mke wa kwanza juu ya hilo na kumuomba idhini?

Jibu: Hapana. Si lazima amjulishe. Hii ni haki yake. Asimkataze hilo. Hata hivyo ni lazima kwake kufanya uadilifu kati yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 27/10/2017