Kumjamii mwanamke wa hedhi pasina kujua kunawajibisha kafara?

Swali: Mwenye kumwendea mke wake na akamjamii ilihali hajui kuwa yuko na hedhi. Je, ni lazima kwake kutoa kafara?

Jibu: Ndio. Ni lazima kwake kutoa kafara kwa kuwa Hadiyth haikupambanua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13342
  • Imechapishwa: 20/09/2020