Kumjamii mwanamke wa hedhi kwenye tupu yake

Swali: Je, inajuzu kumjamii mwanamke wa hedhi ndani ya tupu yake?

Jibu: Hapana, ni haramu. Kumjamii ndani ya tupu ni haramu.

فَاعْتَزِلُوا النِّسَاءَ فِي الْمَحِيضِ

“Basi waepukeni wanawake ndani ya hedhi.” (02:222)

Usimjamii kwenye tupu yake. Ama kustarehe naye mbali na tupu, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14340527.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020