Kumhimidi Allaah wakati wa swalah


Swali: Mtu akichemua ndani ya swalah amhimidi Allaah?

Jibu: Ndio. Kumhimidi Allaah ni ukumbusho usiopingana na swalah. Lakini asimsikilizishe aliye pembeni yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 08/04/2018