Kumhimidi Allaah wakati wa kupiga chafya


Swali: Mtu akichemua ilihali yuko peke yake na hana mtu yeyote…

Jibu: Amhimidi Allaah hata kama hana yeyote. Amhimidi Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
  • Imechapishwa: 20/09/2020