Swali: Mimi nina ndugu ambaye amepoza mwili na pia ana kasoro ulimini mwake. Nataka kumfungia na kumtolea swadaqah. Ni matendo yepi katika hayo yanayomfikia?

Jibu: Swawm hafungi yeyote kumfungia mwengine. Haina uniaba. Kuhusu kumtolea swadaqah ni jambo zuri. Mtolee swadaqah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bh2DpsHpwcU
  • Imechapishwa: 11/05/2020