Kumchinjia mtoto mmoja na kutomchinjia mwingine aliyekufa

Swali: Nilipata watoto wawili; mvulana na msichana. Msichana akawa amekufa siku ya nne. Nikamchinjia mvulana ng´ombe mbili na sikumchinjia msichana. Je, kuna ubaya kwa hilo?

Jibu: Anatosha ng´ombe mmoja kwa mvulana. Msichana na yeye anahitajia ´Aqiyqah, mchinjie Shaat (mbuzi au kondoo) mmoja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014