Swali 758: Ni ipi hukumu ya kumbusu mwanamke mbele za watu?

Jibu: Baadhi ya watu kutokana na matangamano yao mabaya wanaweza kumbusu mbele za watu na mfano wake, jambo ambalo halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 296
  • Imechapishwa: 08/08/2019