Swali: Inafaa kulipa deni za wazazi wawili kutoka katika zakaah?

Jibu: Maoni yaliyo karibu zaidi na usawa ni kwamba imekatazwa. Ipo fatwa ya Shaykh Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn juu ya jambo hili. Lakini ni jambo linahitaji kutazamwa vizuri. Maoni yaliyo karibu zaidi na usawa ni kwamba haifai kabisa kumpa zakaah baba.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 14/07/2019