Kulingana kwa Allaah ni sifa ya kidhati au ya kimatendo?


Swali: Kulingana juu ya ´Arshi ni miongoni mwa Sifa za kidhati au za kimatendo?

Jibu: Kulingana juu ya ´Arshi ni Sifa ya kimatendo Anayoifanya pale Anapotaka (Subhaanah). Ni kama mfano wa kushuka ambapo Anaifanya pale Anapotaka (Subhaanah).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_05.mp3
  • Imechapishwa: 29/06/2018