Kulijengea kaburi kwa simenti, chokaa au udongo

Swali: Ni ipi hukumu ya kulijengea kaburi kwa simenti?

Jibu: Haijuzu kulijengea, si kwa simenti, chokaa, udongo na kadhalika. Yote haya hayajuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-11-6.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014