Swali: Ni ipi hukumu ya kulijengea kaburi kwa simenti?
Jibu: Haijuzu kulijengea, si kwa simenti, chokaa, udongo na kadhalika. Yote haya hayajuzu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-11-6.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014