Kulia kubatilisha swalah ya mswaliji?

Swali: Je, swalah ya imamu inabatilika akiwaombea du´aa watu wa Chechenia katika Qunuut na akalia kutokana na hali yao?

Jibu: Haibatiliki. Kulia huku ni kwa ajili ya kumwogopa Allaah. Anamwomba Allaah nusura juu ya waislamu. Si kwamba analia kwa ajili ya dunia.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (19)
  • Imechapishwa: 19/03/2021