Kulea watoto wa nje ya ndoa


Swali: Ni ipi hukumu ya kulea watoto wa zinaa? Je, inajuzu kuwaozesha?

Jibu: Watendee wema. Watoto wa nje ya ndoa hawana hatia yoyote. Wanalelewa, wanatendewa wema na wanaozeshwa kwa sababu ni waislamu. Wao hawana dhambi yoyote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
  • Imechapishwa: 26/04/2018