Kula na kunywa ndani ya swalah


Swali: Ni yepi mambo yanayoharibu swalah? Je, kula ni miongoni mwa mambo yanayoharibu swalah?

Jibu: Ndio. Kula na kunywa kwa kusudi kunaiharibu swalah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-19-12-1435هـ
  • Imechapishwa: 19/06/2022