Kula kwenye mgahawa kunaponyiwa pombe

Swali: Je, inajuzu kula mwenye mgahawa ambapo kunanyiwa pombe na kuna mahala palipofungwa hakunyiwi pombe ambayo ni milki ya mgahawa huu?

Jibu: Nenda kwenye mgawahawa usiokuwa na pombe. Usiende kwenye mgahawa ulio na pombe. Nenda kwenye mgahawa usiokuwa na pombe au nunua chakula na ule nyumbani kwako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020