Swali: Je, kumethibiti makatazo kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kula au kunywa na huku mtu amelala?
Jibu: Ndio, asile ilihali amelala…
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-17.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014