597- Nilimsikia Ahmad akiulizwa kama mtu anatakiwa kuiacha Zakaat-ul-Fitwr yake msikitini au kumlisha nayo masikini. Akajibu:
“Amlishe masikini kwayo.”
598- Nilimsikia Ahmad akiulizwa kama inajuzu kukusanya Zakaat-ul-Fitwr msikitini ambapo akajibu:
“Nataraji hakuna neno.”
- Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 123
- Imechapishwa: 07/03/2021