Kukusanya swalah hali ya kuwa msafiri atafika kabla ya swalah ya pili

Swali: Inajuzu kwa mfano kukusanya kati ya Dhuhr na ´Aswr pamoja na kuzingatia kwamba nitafika katika mji unakokwenda kabla ya ´Aswr haijaingia?

Jibu: Ndio, hakuna neno. Kukiwepo na sababu inayopelekea kukusanya hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 14/12/2018