Kukidhi haja hali ya kuwa watu wanakuona

Swali: Mtu ambaye yuko jangwani anakidhi haja na watu wanamuona lakini hata hivyo hawaoni sehemu yake ya siri. Bali wanamuona hali ya kuwa ameketi hali ya kujisitiri. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Ikiwa wanamuona mtu huyo lakini hata hivyo hawaoni sehemu yake ya siri haidhuru. Kilichokatazwa ni yeye kuonyesha sehemu yake ya siri mbele za watu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (06) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/433/433.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2018