Kukatazwa watawala kwa siri ni katika nchi zote


Swali: Fataawa za wanachuoni kwamba mtawala anatakiwa kukatazwa kwa siri ni khaswa katika nchi maalum au ni katika nchi zote?

Jibu: Ni kwa waislamu wote kila mahala.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.ibnbaz.se/Artiklarna/1201-1300/028.html
  • Imechapishwa: 05/09/2020